October 14, 2016

Download wimbo mpya: Kesho ni fumbo - Bahati Bukuku.

Leo tena tumekusogezea wimbo mwingine tena kwa Bahati bukuku, wimbo unaitwa Kesho ni fumbo. Download wimbo mpya "Kesho Ni Fumbo" toka kwa Bi. Bahati Bukuku.