Featured Posts

October 4, 2016

MUSIC VIDEO: BORA LAWAMA - GOSPEL KID.

Gospel Kid ni Mwimbaji wa Nyimbo za Injili, nchini Tanzania ni Mwarabu wa kwanza kwa Tanzania kuokoka, Anamtumikia Mungu kwa uwimbaji ana Albam Tatu hadi sasa Ambazo zipo Madukani na hivi sasa anamalizia kufanya video ya Albam yake ya nne.
By Chief Hope

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.