October 15, 2016

Music video: Nguvu ya kujua - Ambwene Mwasongwe.

Nimekusogezea video mpya toka Ambwene Mwasongwe, wimbo unaitwa Nguvu Ya Kujua, Ni wimbo wenye ujumbe wa aina yake, akizungumzia nguvu ya kujua mabaya na kuujaza Moyo.