October 20, 2016

Je wajua jennifer mgendi alifunga ndoa mwaka gani? Soma hapa.

Ngoja nikujuze.. Jennifer Mgendi alifunga ndoa mwaka 1998. Jina la mume wake ni Dr. Job Chaula. Jennifer Mgendi na Mumewe wamejaliwa kupata watoto watatu ambao ni Jotham, Jeftah na Joan. 

Na taarifa hizi ni kwa mujibu wa tovuta ya Jennifer Mgendi Mwenyewe, jennifermgendi.com.

Unataka kujua zaidi, Endelea kutembelea blog hii timheaven.com.

By Chief Hope

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

Kupitia FacebookTwitter na instagram ili kupata habari, makala mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.