October 13, 2016

Music video: Tutafika Salama - Beatrice Mwaipaja.

Ijapokuwa unapitia magumu sana na unaona giza uendapo. Zidi kumtegemea Mungu na yeye atakushika mkono na utafika salama. Karibu kutazama video ya wimbo wangu mpya wa Tutafika Salama Beatrice Mwaipaja.