Featured Posts

October 18, 2016

Music video: Wapi sahihi - Annoint Esau ft Nas B.

Annoint Esau Amani akiwa amemshirikisha Nas B ambaye pia ni producer wa wimbo huu kutoka studio ya Pamoja Record, video ya wimbo huu inaitwa WAPI SAHIHI ikiwa imeongozwa na director CryStal kutoka studio CryStal Media Lab iliyopo nchini kenya.