December 13, 2016

Music video: Akutendee nini - Christina Shusho.

Tumekusogezea video mpya kabisa toka kwa mwimbaji bora wa Africa Mashariki na Kati, Bi. Christina Shusho, video inaitwa Akutendee Nini. Enjoy mtu wa Mungu.