December 20, 2016

Download wimbo: Ndiwe Mungu - Goodluck Gozbert.

Leo tunakusogezea video mpya kutoka kwa muimbaji anayefanya vyema hivi sasa kwenye tasnia ya Muziki wa Injili Tanzania na huyu si mwingine bali ni Goodluck Gozbert ambaye leo ameachia video yake mpya kabisa inayokwenda kwa jina la NDIWE MUNGU ikiwa imeongozwa na director Ashish na wimbo ukiwa umetengenezwa na Goodluck Gozbert mwenyewe kutoka ndani ya studio ya Mpo Africa.

By Chief Hope

Jiunge Na Tim Heaven Sasa!
 

Kupitia FacebookTwitter na instagram ili kupata habari, makala juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.