December 20, 2016

Goodluck anatumia uchawi kuvuma kimuziki? Majibu yako hapa (+video)

Goodluck Gozbert ni moja ya waimbaji wa nyimbo za injili wanaofanya vizuri kwa sasa na kukubalika na watu wengi sio tu makanisani bali hata watu walio nje ya imani ya kikristo.

Kutokana na Muimbaji huyo kujizolea umaarufu kila kona kumekuwa na kashfa kwamba Goodluck Gozbert anatumia nguvu ya ziada ambayo sio ya ki-Mungu ili kuweza kuwateka mashabiki na wadau.

Kujua alichosema Goodluck, tazama Video ya mahojiano hapo chini.

By Chief Hope

Jiunge Na Tim Heaven Sasa!
 

Kupitia FacebookTwitter na instagram ili kupata habari, makala juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.