December 15, 2016

Binti mtanzania wa miaka 20 aliyelipwa bilioni 1 Ufaransa kwa dili moja.

Herieth Paul ni Binti Mtanzania mwenye umri wa miaka 20 tu lakini jina lake limekua kubwa kila kukicha nchini Marekani akiwa ni Mwanamitindo mwenye umri mdogo lakini amepiga hatua kubwa kwenye kazi ya Uwanamitindo.
By Chief Hope

Jiunge Na Tim Heaven Sasa!
 

Kupitia FacebookTwitter na instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.