December 16, 2016

Hii ni list ya ndege 10 kubwa zaidi duniani. (+video)

Hii hapa ‘Top 10′ ya 2016 ya ndege kubwa zaidi Duniani kwa umbo, saizi na uwezo wa idadi ya abiria zinaoweza kubeba kwa safari moja. #USIPITWE tazama hapa
1 – Antonov An-225 Mriya
2 – Airbus A380
3 – Boeing 747 8
4 – Boeing 747 400
5 – Antonov An-124
6 – Airbus A380 800
7 – Boeing 777 200
8 – Airbus A340 600
9 – Tupolev ANT-20 Maxim Gorki
10 – Airbus A340 500