December 16, 2016

Hizi hapa sifa 10 za mwanamke mzuri.

Wengi wangekuja na orodha isiyokuwa na mwisho ambayo inaeleza tofauti tofauti kuhusu tabia nzuri za mwanamke. Hapa tumekuja na orodha ya sifa nzuri na muhimu zaidi ambazo zinafaa kutumiwa kama kuwa kigezo cha kupima tabia nzuri za mwanamke.

1. Kusamehe.
2. Msikilizaji mzuri.
3. Mwaminifu.
4. Msaidifu.
5. Mwenye imani.
6. Kuhamasisha.
7. Mcha Mungu.
8. Heshima.
9. Anajiamini.
10. Anajua mapenzi.