December 15, 2016

Download wimbo mpya: shalom - Bishop Abrah.

Shalom! kutoka Dar es salaam Tanzania leo inakuletea wimbo mpya unaoitwa Shalom kutoka kwa Bishop Abrah wimbo ukiwa umetengenezwa chini ya mikono ya producer Amyz kutoka studio ya ENZI Records iliyopo dar es salaam.

By Chief Hope

Jiunge Na Tim Heaven Sasa!
 

Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.