Featured Posts

December 22, 2016

Wanaume na wanawake kwenye mahusiano ya sasa – Dr. Chris Mauki (+video)

Najua kuna watu wangu wengi wanapenda kujifunza mambo mbalimbali katika maisha yao ya kila siku haijalishi yawe yakuhusu siasa, afya n.k

Sasa leo nakukutanisha na Dr Chris Mauki ambaye yeye ni mtaalamu wa masuala ya saikolojia ambaye alifunga safari hadi makao makuu Dodoma kwa ajili ya kutoa mafunzo kuhusu mambo ya mahusiano kupitia semina iliyoitwa Lovevers Night iliyoandaliwa na kampuni ya Opy general enterprises na hapa kuna dakika zake muhimu kwako.