Featured Posts

January 2, 2017

Download wimbo mpya: Huyu Yesu - Angel Benard & Mercy Masika.

Leo tumepeata fursa tena ya kukusogezea wimbo mpya Huyu Yesu kutoka kwa muimbaji mahiri nchini, mwanadada Angel Bernad akiwa na muimbaji mahiri kutoka nchini Kenya anayefahamika kwa jina la Mercy Masika wimbo ukiwa umetengenezwa ndani ya studio ya Still Alive iliyopo nchini Kenya.