January 5, 2017

Download wimbo mpya: Nawashukuru adui - Jennifer Mgendi.

Leo tumekusogezea wimbo mpya kutoka kwa muimbaji mahiri na mkongwe wa nyimbo za nyimbo za Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Jennifer Mgendi na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Nawashukuru Adui uliotengenezwa na producer C9 kutoka studio ya C9 Records.