January 19, 2017

Picha 6 zinazoonyesha uzuri wa mji wa dubai.

Dubai ni jiji ndani ya United Arab Emirates, mji huu unajulikana sana kwa majengo yake marefu na ya kisasa. Leo nimekuletea picha za majengo mbali mbali ya jiji la dubai.