Featured Posts

January 21, 2017

Masanja amefanikiwa kumpata Faru John aliyekuwa anatafutwa na jamuhuri. (+Video)

Katika pirikapirika za kila za Mchekeshaji maarufu nchini wa kundi la Orijinal Comedy na mjasiriamali maarafu Mr. Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandaji, Jana alifanikiwa kumpata Faruu John ambaye alikuwa gumzo katika masikio wa watu wengi na kuswakwa jamuhuri nzima.