January 11, 2017

Haya ndiye maneno ya Flora Mbasha juu ya Mbasha. (+video)

Mwanamuziki wa Injili nchini, Flora Mbasha amesema kuwa watu wamuache na maisha yao kati yake na Mbasha kwani mapenzi ni kitu binafsi kati ya watu wawili na anaishi kama anavyotaka na sio kama watu wanavyotaka aishi.

Amedai kuna watu wanajifanya wanajua maisha ya watu wengine kuliko hata muhusika mweyewe na kumbe sivyo, pia kwa sasa anataka afahamike kama Madam Flora na sio Flora Mbasha.
By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

Kupitia FacebookTwitterInstagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.