Featured Posts

January 3, 2017

Kiongozi wa ibada aendesha ibada akiwa na hoverboard. (+video)

Hoverboard ni jina la kiingereza lakini sina uhakika kama kuna jina rasmi la kiswahili limepatikana kuviita hivi vifaa, ni kama fashion sasa hivi utaona mastaa kibao wanapost video wanatembea navyo !! Lakini kama haujaviweza tafadhali, hata usithubutu kuvijaribu..

Ripoti ya stori kwenye mtandao wa BBC inasema waumini kadhaa wamemshutumu Paroko mmoja wa Ufilipino ambae ameonekana akiwa anahubiri kanisani huku akikatisha juu ya hoverboard.

Hii hapa video ya Paroko huyo akikatisha na hoverboard wakati wa ibada ya Christmas Ufilipino ambapo hata uongozi wa kanisa hilo hawakupendezwa na kitendo hicho pia wanachokiona kama kuikosea heshima nyumba ya ibada.

By Chief Hope

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.