January 31, 2017

Shule 10 bora na 10 za mwisho katika matokeo kidato cha nne 2016/2017.

Baraza la Mitihani nchini (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne ambapo ufaulu umeongezeka kutoka asilimia 67.91 mwaka 2015, hadi kufikia asilia 70.35 mwaka 2016 huku shule 6 za Dar es Salaam zikifanya vibaya. >>> Bofya hapa kutazama matokeo.

Isikupite hii: Mwanangu nisikilize mimi, hii ni kwa wanaume wote. 

Shule 10 bora Kitaifa.

Shule 10 za mwisho kitaiafa.

Isikupite hii: Watu wenye sifa hii, ndiyo wanaofanikiwa.

Masanja amefanikiwa kumpata Faru John aliyekuwa anatafutwa. Tazama hapa chini.