• Isikupite Hii

  January 13, 2017

  Ujenzi wa banda la kufugia kuku.

  banda la kuku
  Wapo watu wanapenda sana ufugaji japo wa kuku wachache tu lakini anajivunia ufugaji. Ufugaji kwa karne umekua ajira kwa vijana wengi.

  Je unatamani kufuga kuku na labda eneo lako ni dogo kiasi cha kukutatisha tamaa?


  Isikupitee Hii: Kanuni Za Ufugaji Bora Wa Kuku.

  Wala usihofu kwani hilo linawezekana. Jitahidi tu utakavyoamua kuwajengea basi liwe ni eneo salama kwao na rahisi kwako kufanyia usafi wa mara kwa mara

  Tazama picha hizi hapa chini japo uweze kupata idea ya banda lako.

  banda la kuku
  banda la kuku
  banda la kuku
  banda la kuku
  banda la kuku
  Wakati wa kuweka msingi hakikisha pia unajua maji machafu yatatokea wapi.

  Isikupitee Hii: Ufugaji Bora Wa Kuku Wa Kienyeji


  Baada ya hizo kokoto weka turubali kama hilo husaidia kuhifadhi joto na pia usafishaji wake ni rahisi. Kisha juu ya turubai utamwaga randa zile au sijui ndio chakula chao ilimradi turubali lisibaki wazi maana peke yake joto halitapatikana.


   banda la kuku
  Wakati wa kuezeka...hakikisha umeezeka vizuri ili hata mvua ikinyesha basi maji yasiingie ndani.Bado hujachelewa INAWEZEKANA.....

  By Richard Edward

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
  Kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari, makala mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.