• Isikupite Hii

    January 15, 2017

    Tazama matokeo ya Form 2 mwaka 2016 hapa.

    Baraza la Mitihani nchini NECTA limetoa matokeo ya mitihani ya upimaji kwa wanafunzi wa darasa la nne kwa shule zote za msingi nchini pamoja na ule wa kidato cha pili kwa wanafunzi wa shule za sekondari yanayoonesha ufaulu kuongezeka kwa 1.9%.


    Bofya hapa kutazama.