January 20, 2017

Wanasayansi wamegundua njia ya kuwatambua wanaume wakarimu na wanaosikiliza wake zao.

Wanasayansi katika chuo kikuu cha McGill University nchini Canada wamegundua kwamba wanaume walio wakarimu na wanaowasikiza wake zao kidole chao cha nne (4) ni kirefu ikilinganishwa na kidole chao cha pili (2).

Source: Bbc Swahili.

Unadhani wako sawa? Toa maoni yako juu ya hili.
Wanasayansi wamegundua kwamba wanaume walio wakarimu na wanaowasikiza wake zao kidole chao cha nne ni kirefu...
Posted by BBC Swahili on Saturday, February 21, 2015