January 21, 2017
NEWS
Haikuwa rahisi kwa Mtanzania Benjamin Fernandes (24) kupata nafasi ya kufanya kazi kwenye Kampuni ya tajiri wa kwanza duniani, kwenye hii video hapa chini ameeleza ilivyokua mpaka akapata nafasi ya kuingia kufanya kazi Bill & Melinda Gates Foundation.
Home
NEWS
Mtanzania Benjamin aelezea alivyopata nafasi ya kufanya kazi kwa Tajiri wa dunia Bill Gates.