January 21, 2017

Mambo matatu '3' muhimu kukufanikisha maishani.

1. Maarifa (Knowledge) 

Je unafahamu nini? Kwa kiasi gani? Hicho unachofahamu kinakufaidishaje wewe na wanaokuzunguka?

2. Maamuzi sahihi (Right decisions) 

Kuwa makini sana na maamuzi unayoyafanya maana yanaweza kuijenga au kuibomoa leo na kesho yako.

Soma: Maswali Matano (5) Yakujiulza Ambayo Yanaweza Kubadirisha Maisha Yako.

3. Nafsi isiyo na ubinafsi (Unselfish mind) 

Ukiwafungulia wengine milango na yako itafunguliwa, ukiwafungia na yako itafungwa kabisa. Wajali watu - Chris Mauki