January 25, 2017

Hii ndio kiu ya kila mwanaume katika mahusiano.

Kiu yao ni kuwa na mwanamke ambaye atakuwa mke anaye leta furaha nyumbani, anaye sikiliza, anaye weza kushauri na kushaurika, aliyeko tayari kuelekezwa na kufundishika sio kuwa mwalimu na mtoa orders kwenye kila kitu.

Anayeweza kuandaa mapishi mazuri yatakayo wafurahisha watoto na mume wake hata kama sio kila siku badala ya kuelekeza dada wa kazi kipikwe nini wakati yeye analinda kucha zake zisiharibike. 

Soma: Fanya haya mtaishi muda mrefu kwenye mahusiano.

Kama ambavyo kuoa ni jukumu na kuolewa ni jukumu pia tela kubwa. Najua kujitetea kutakuwepo but ukweli unabaki kusimama pale pale - Chris Mauki.