January 31, 2017

Neno La Siku: Unapenda ustarabu eee? - Job Mkama.

Kuna wakati unalazimika kuweka kando ustarabu ili uyakabili mazingira yako. Vua viatu vyako, kunja suaruali mpaka magotini, vua shati ikibidi na wakati huo ujue wapo watu watakao kukuta katika mazingira hayo na kwenda kutangaza kwamba wamekutana na chizi. Isikusumbue kwani hiyo ni sehemu muhimu ya maisha!

Isikupite hii: Tabia 3 za watu wanaokubalika sana na jamii.

Siku njema! - Job Mkama.


Tazama video ya kijana mwenye vipaji million, Kijana huyu ni hatari.