January 28, 2017

Mambo 11 usiyoyajua kuhusu Rose Muhando.

1. Amezaliwa Tanzania na kukulia mkoa wa morogoro.

2. Ashawahi kuhudhuria madrasa.

3. Aliwahi kuumwa na ugonjwa wa ajabu na kulala hoi miaka 3 kitandani.

4. Aliona muujiza wa kuponywa na bwana yesu  akiwa kitandani mgonjwa.

5. Alibadilisha dini siku ya pasaka.

6. Hajaolewa na ana watoto watatu.

7. Ameapa kutoolewa tena.

8. Alianza kuimba injili dodoma.

9. Alishawahi kufukuzwa kanisani.

10. Ni mwanamke pekee Tanzania  alieshinda tunzo mbalimbali za mziki wa injili.

11. Amewahi kuwa chini ya lebo kubwa ya kusimamia music Sony