• Isikupite Hii

  January 17, 2017

  Mambo 8 yatakayo kuongezea ujasiri zaidi.

  1. Weka mkazo katika maisha yako mwenyewe, usipoteze muda kujilinganisha na watu.
  2. Sema asante badala ya pole.
  3. Sema hapana na huoni umuhimu wowote wa kufanya jambo hilo.
  Usikubali watu wakutumie na kukuendesha endesha ovyo ovyo kwa mambo yasiyo na msingi wowote maishani kwako.
  4. Simama kwa ujasili/ Uwe na ujasiri.
  5. Fanya mazoezi ili uwe na nguvu.
  6. Weka malengo madogo ya kila siku na uwe unaweka kumbukumbu.
  7. Onesha uso wa tabasumu hata kwa watu usiowafahamu.
  8. Kaa wima kwa ujasiri.
  Unapokaribishwa mahali usikae kwa mashaka mashaka kaa kwa ujasiri na wima bila kuogopa watu.