January 14, 2017

Download wimbo mpya: Usifiwe Jehova - Jessica Bm.

Tumekusogezea wimbo mpya toka kwa muimbaji mahiri wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Jessica Bm, wimbo huu inaitwa Usifiwe Jehova na umetengenezwa ndani ya studio ya Real Production chini ya mikono ya producer Masanja Frester.