March 24, 2017

Ukiona kifaa kama hiki ondoka mahali hapo haraka sana. (soma zaidi)

Hii sio taa (bulb). Hii ni camera ya siri. Mara nyingi vifaa hivi huwekwa kwenye vyumba vya kulala wageni, bafuni na vyumba vya kupimia nguo au kubadilishia nguo.

Soma: Chukua Tahadhari Kama Unatumia Hizi Bulb.

Kuwa makini sana unapokuwa kwenye nyumba za kulala wageni, Chooni ama bafuni, vyumba vya kujalibishia nguo au kubadilishia nguo. Ukiona kifaa kama hicho ondoka mahali hapo kuna njama, sio taa ni camera. Mjulishe ndugu na jamaa yako.