Featured Posts

March 22, 2017

Usikose kuitazama hii Live Show mpya "Talks With My Girls".

Dorin Nkone, amekuja na kipindi kipya kwa ajili ya vijana hasa mabinti ili kujadiliana nao kuhusu mambo mbalimbali na changamoto mbalimbali wanazokabiliana nazo kama wanawake. 

Kipindi hicho kinaitwa "Talks With My Girls" ni kila alhamisi saa 7:00pm EST kupitia mtandao wa Facebook. Kitaruka kupitia account hii Pastor Donis Nkone.