March 24, 2017

Je wazijua nchi 5 Duniani hatari zaidi kuishi kwa maisha ya binadamu?

Kama wewe umezaliwa na kuishi kwa raha mustarehe huku ukila bata, kuku na mayai yake hali si hivyo kwa nchi zote, sasa hizi ndizo nchi 5, hatari zaidi kuishi kwa maisha ya binadamu.

5. AFGHANISTAN

 AFGHANISTAN
Hii ni moja ya nchi tajiri kabisa katika falme za kairabu,lakini inakumbwa na udharirishaji wa kijinsia,mauaji ya kujitoa mhanga,ugaidi na udikteta.

4. SOUTH AFRICA

 SOUTH AFRICA
Nchi yenye uchumi wa juu zaidi barani Africa,na hadi kuyafunika mataifa makubwa ya ulaya na america,nchi hii inahusishwa na ubaguzi mkubwa wa rangi toka enzi za ukoloni,ujambazi na uvamizi,ubakaji,wizi,visasi,mauaji ya hadharani na maambukizo makubwa zaidi ya virusi vya ukimwi.

3. ISRAEL

 ISRAEL
Pamoja ya kuwa nchi yenye historia kubwa ya dunia hii kwa waanini wa dini ya kikristu,Nchi hii inakubwa na vita hususani na Parestina,uvunjifu wa haki za binadamu,mauaji ya kutisha,ubakaji,njaa na magonjwa.

2. SOMALIA

 SOMALIA
Miongoni mwa nchi zenye utajiri wa mafuta na kuwa na idadi kubwa zaidi ya wanawake warembo,Somalia inakumbwa na ugaidi uliokithiri,mauaji ya kutisha,ubakaji,wizi,njaa kali,magonjwa,unyanyasaji wa kijinsia,uharibifu wa miundo mbinu na uchafuzi wa mazingira.

1. SYRIA

 SYRIA
Taifa dogo katika falme za Kiarabu ila walajiwa utajiri mkubwa wa asili na hali nzuri ya hewa pengine kuliko nchi yoyote mashariki ya mbali,lakini nchi hii inaongoza kwa vita vya ndani kuliko nchi yoyote duniani,machafuko makubwa ya kisiasa, udikteta,uongozi mbaya,usaliti,visaisi,mauaji ya halaiki,ubadhilifu wa mali za umma,uporaji,njaa iliyo kithiri,uharibifu mkubwa wa mazingira na magonjwa yasiyohesabika.