March 15, 2017

Download Kamusi ya Kiswahili hapa.(Tuki)

Hii ndiyo kamusi ya kiswahili sanifu pekee kubwa na yenye maneno mengi zaidi katika kamusi za Kiingereza – Kiswahil na maana ya maneno hayo kwa Lugha zote mbili. Ni kamusi iliyoandaliwa na Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili Tanzania (TUKI). Hii ni maalum kwa ajili ya kompyuta, nimeitafuta upande wa simu sijaiona ila naendelea kuitafuta. Ni nzuri sana kwa wanafunzi wa sekondari hata wa vyuo au kwa yeyote mwenye shida katika kiingereza.

Ina pande mbili, unaweza kuisoma kutoka Kiingereza kwenda Kiswahili au Kiswahili kwenda Kiingereza kwa kutumia browser tu yaani Mozillar firefox, googlechrome au hata internet explore. Ukishaipakuwa i-extract na uendelee kuitumia, na kui-extract ni rahisi tu right click na utaona option ya ku-extract ila kama bado inasumbuwa usiache ku-comment hapo chini nipo tayari kukusaidia.