March 11, 2017

Neno La Siku: Hii ni mbegu ya ajabu sana kuliko mbegu zote duniani - Job Mkama

Hata kama kuna ukame kiasi gani wewe panda mbegu iitwayo ndoto kwani hakuna ukame unaoweza kuikausha mimea yake! 

Siku njema! - Job Mkama.