Featured Posts

March 24, 2017

Hizi ndizo sababu 5 za mikwaruzo katika maisha.

Hizi nisababu chache tu za migongano ya kila siku.
1 Kutaka kulinganisha au kufikiri kuwa mwanaume nisawa na Mwanamke kwa kuwaza na kutenda. 

2. Kufikiri kuwa kwa kua umeingia ndani ya ndoa basi kazi imekwisha, ukaamua kujibweteka.

3 . Kufikiri kwamba kwa kuwa mmeshapata watoto sasa ufatiliaji wa maendeleo yao yakielimu au kitabia nikazi ya mwanamke. 

Soma: Umuhimu wa kujenga mahusiano bora na watu wengine

4. Kufikiri kuwa hisia za mama yako mzazi zinatofautiana na mwanamke ulie muoa, nakusahau kuwa hao wote ni wanawake kihisia.

5. Kufikiri kwa-kuwa Mwenyezi Mungu alitukirimu neema, basi hata tusipo jishughulisha, neema ipo na ita jishugulisha yenyewe kwetu.