Featured Posts

March 22, 2017

Neno La Siku: Sababu kwa nini watu hawakuheshimu! - Job Mkama.

Wafunze watu jinsi ya kukuheshimu kwa kuwaonyesha mfano! Waonyeshe ni mambo gani utakubaliana nao kwayo na ni mambo gani hutokubaliana nao! Waonyeshe namna bora ya kukuheshimu kwa kuweka mipaka ya nini unataka na nini hutaki! Period! La hawataki waishie kwa sababu hatma yako haikufungwa ndani ya mtu mwingine!

Siku njema! - Job Mkama