May 8, 2017

Mambo 10 ya kuzingatia katika safari yako ya mafanikio.

1. Kitu cha kwanza ni afya, Hakikisha unajali sana afya yako.
2. Zingatia sana Muda (Ratiba) yako, kumbuka kuna msemo unasema hivi "muda ni pesa".
3. Acha kuishi na wazazi au kupanga nyumba na washikaji.
4. Jifunze kuweka akiba ya fedha.
5. Tafuta mpenza sahihi na utulie naye.
6. Achana na starehe zisizo na maana.
7. Anza kununua asset kama vile ardhi, kitanda, vyombo vya nyumbani n.k
8. Chagua marafiki wenye changamoto za maendeleo.
9. Jifunze kuvaa kwa heshima na si tu suala la kupendeza
10. Achana na mambo ya kitoto.

Ni namba ipi uliyoipenda hapo juu? Weka maoni yako hapa chini na kisha share ujumbe huu.