May 17, 2017

Mambo 7 ambayo watu waliofanikiwa hufanya kila siku ili waendelee kuwa wazalishaji.

1. Wanapenda kile wanachokifanya.
Ebu fikiria watu kama Millard Ayo, Mo, Mh. Makonda, Ruge na n.k wagekuwa hapo walipo leo kama wasinge kuwa wanakipenda na kufurahia kwa uwazi yale wanayofanya?

2. Wanaamka Mapema.

3. Wanafanya kazi kwa kiasi.


Soma Hii: Mambo 11 Ambayo Watu Wenye Akili Hufanya.


4. Wanajijari.
Mara zote watu waliofanikiwa ni watu ambao wanajari afya zao, hisia zao na kila kitu chenye umuhimu katika maisha yao.

5. Wanafatilia ndoto.
Hawana muda wa kupoteza kushindani, kufatilia story za watu wengine au ndoto za watu wengine.

6. Wanaona picha kubwa.

7. Hawajipi majukumu mengi. (They don’t multitask)