May 10, 2017

Neno La Siku: Wanaokuzunguka wanaweza kuamua hatma yako! - Job Mkama.

Nadhani ni busara kuhakikisha unazungukwa na watu wenye maono, zungukwa na watu wenye uthubutu na kujiamini, zungukwa na watu wanaofikiri kwa upana zaidi kuliko wewe. Zaidi ya yote, zungukwa na watu wanaoona mambo usiyoyaona ndani yako, watu wanaoweza kukufanya wewe kuwa zaidi ya vile unavyojidhani!

Siku njema! - Job Mkama.