May 11, 2017

Neno La Siku: Nionyeshe wapambe wako ili nikushauri kitu rafiki! - Job Mkama.

Watu wanaokuzunguka wanao mchango mkubwa sana wa kukufanya ushindwe ama ufanikiwe! Jifunze kujiwekea mipaka na aina fulani ya watu maishani. Si kila MTU anapaswa kuwa rafiki wa ndani. Chagua ni akina nani wanaopaswa kuwa inner circle yako au wana ndani wako. Siku zote zungukwa na watu wenye kukuongezea thamani na siyo wale wanaokupunguzia thamani!

Usitoe muda wako na nguvu zako kwa watu wasifaa!!  Siku njema! - Job Mkama.