May 17, 2017

Download wimbo mpya: Take Care - Rungu La Yesu.

Namshukuru Mungu kunifanikisha kukamilisha hii track kali nzuri na bora Take Care, ambayo Kimsingi nimejaribu kuzungumza uongo wa shetani juu ya watu wanaomwamini MUNGU.

Mara zote shetani ni mwongo  maana yeye maisha ya MBINGUNI yalimshinda kazi kubwa anayofanya sasa nikuwadanganya wanadamu ili na wao waiokose MBINGU kama yeye maana uzuri wa MBINGU anaufahamu.

Anatumia mbinu mbalimbali ili akunase tu anaweza kukupa pesa cheo au mali au umaarufu na mwisho ukajikuta umeingia maaana njia zake za kurubuni hata kwa macho haziwezikuonekana lazima ujae NENO NA ROHO WA YESU akufunulie la sivyo utazama.

Hii ndiyo maana ya huu wimbo Take Care nimefanya chini ya studio za House Of Music chini ya produce Makharythm.

Mawasiliano 
+255 752777721, 
+255712348032
Email.
Rungulayesu@gmail.com