June 6, 2017

Download wimbo mpya: Kitu gani - Christina Shusho (Remix)

Hello! Kwa niaba ya team nzima ya Timheaven.com, Tunayo-furaha kukusogezea wimbo mpya kabisa toka kwa mkali wa muziki wa injili nchini, Mwanadada Christina Shusho, wimbo unaitwa Kitu gani ni remix ya wimbo wake mwenyewe aliouachia miaka kadhaa iliyopita. Enjoy!