June 6, 2017

Tazama video mpya: Kitu gani - Christina Shusho (Remix)

Hello! Kwa niaba ya team nzima ya Timheaven.com, Tunayo-furaha kukusogezea video mpya kabisa toka kwa mkali wa muziki wa injili nchini, Mwanadada Christina Shusho, wimbo unaitwa Kitu gani ni remix ya wimbo wake mwenyewe aliouachia miaka kadhaa iliopita.