July 24, 2017

Athari zinazomkumba mtoto anayelelewa kwa malezi ya mabavu.

Watoto wanaokuwa katika malezi ya kimabavu hujikuta wanafuata sheria kila wakati, hali hii inaweza kuwaletea matatizo mbalimbali kama vile:
1. Tatizo la kutokujiamini. 
2. Tatizo la kutowaamini wengine pia.
3. Wakati mwingine watoto huwa na tabia za ukali.
4. Huwa na hofu na wasi wasi mara kwa mara. 
5. Watoto kuwa na hali ya ukorofi hasa anapo kuwa nje na wazazi.
6. Kuwa na nidhamu ya uwoga akiwa mtoto na hata akiwa mfanyakazi.