July 24, 2017

kati ya Wanaume 10, 7 wana michepuko - Utafiti.

Utafiti uliofanywa na gazeti la Mwananchi unaonesha kwamba wanaume kati ya 10, 7 wana michepo. Kwa utafiti huu basi tatizo la Michepuko limegeuka kuwa janga la kitaifa. Ni nini kinasababisha hali hii?