July 29, 2017

Lawama kuu za wanawake juu ya wanaume kwenye mahusiano.

1. Wanaume hawawezi kuzielezea hisia zao. Ni ngumu kumjua anafeel vipi.
2. Wanaume hawawezi kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja.
3. Wanaume wanajifanya wanajua kila kitu. Wanajifanya wanajibu la kila tatizo.

Isikupite hii: Lawama za wanaume juu ya wanawake kwenye mahusiano


4. Wanaume sio wasikilizaji wazuri.

5. Wanaume hawapendi shopping na wala hawafurahii ukiwanao kwenye manunuzi.
6. Wanaume wanaogopa sana gharama.
7. Wao wanawaza sex tu muda wote.