July 21, 2017

Hili ndio limao kubwa zaidi duniani, lina uzito wa 5.2 kg (+picha)

Limao lenye uzito wa kilo 5.265 ndio limao zito na kubwa kuliko malimao yote duniani. Malimao ya aina hii yanapatikana Kefar Zeitim katika shamba la Aharon Shemoel huko nchini Israel.