July 29, 2017

Mambo 10 usiyojua kuhusu kupumua.

1. Mtu mzima anapumua mara 23,000 kwa siku.
2. Kazi kubwa ya kupumua sio kupata oxygen, bali kuondoa kabon dayoksaidi.
3. Kupumua kwa kutumia mdomo ni hatari kwa afya yako.
4. Unavyopumua kwa kasi ndivyo inavyozidisha njaa na acid kwenye mwili wako.
5. Unatakiwa kufanya mazoezi kwa kiwango ambacho utaweza kupumua ukiwa umefunga mdomo.
6. Pua ina ngazi nne za kuchuja hewa inayoingia, ukipumua kwa mdogo inaenda moja kwa moja kwenye ngazi ya nne.
7. Kama mapafu yako yangetandazwa yanafikia ukubwa wa uwanja wa tennis.
8. Kupumua kunaendeshwa na mfumo wa fahamu usio wa hiari(involuntary).
9. Ukijizuia kupumua unaongeza kabon dayoksaidi kwenye mwili.
10. Ukijizuia kupumua unatibu kwi kwi.